<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?><song><hymn_number>15</hymn_number>
<lyrics>[V1]
 Chakutumaini sina
 Ila damu yake Bwana,
 Sina wema wa kutosha
 Dhambi zangu kuziosha;

[V2]
 Kwake Yesu nasimma,
 Ndiye mwamba: ni salama
 Ndiye mwamba: ni salama
 Ndiye mwamba: ni salama.

[V3]
 Njia yangu iwe ndefu
 Yeye hunipa wokovu;
 Mawimbi yakinipiga
 Nguvu zake ndiyo nanga.

[V4]
 Damu yake na sadaka
 Nategemea daima,
 Yote chini yakiisha
 Mwokozi atanitosha.

[V5]
 Nikiitwa hukumuni,
 Rohoni nina amani
 Nikivikwa haki yake
 Sina hofu mbele zake.</lyrics>
<title>Cha Kutumaini Sina TZR15</title>
</song>